UAPISHO WA DC WA KAHAMA – SHINYANGA MH. MBONI MHITA

Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita alikula kiapo cha uongozi kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya mbele ya kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda Februari 1, Mwaka 2023 baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mheshimiwa Mboni Mhita aliteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mkuu wa Wilaya ya Kahama mnamo Januari 25, Mwaka huu 2023 ambapo hafla ya uapisho ilifanyika katika ukumbi wa mikutano ofisi za mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Kabla ya uteuzi huo DC Mhita aliwahi kutumikia nafasi mbalimbali za uongozi, aliwahi kuwa makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, MNEC, nafasi ya ubunge katika Jimbo la Handeni vijijini Mwaka 2015 hadi 2020 Mkoani Tanga, aliwahi kuwa Mbunge wa Bunge la Africa na aliwahi kuwa Rais wa vijana Africa.

Hafla ya kuapishwa kwa mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na Dini pamoja na viongozi wa chama cha mapinduzi CCM akiwemo kaimu mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, makatibu wa CCM, wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Shinyanga, Maafisa tarafa pamoja kamati za ulinzi na usalama.

Baada ya kula kiapo cha uaminifu na uadilifu Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita ameahidi kuwajibika ipasavyo ikiwemo kushughulikia changamoto za wananchi huku akiomba ushirikiano ili kuleta tija na kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Mkuu wa wilaya ya Kahama mpya Mh. Mboni Mhita akila kiapo cha uongozi katika nafasi ya mkuu wa wilaya ya Kahama baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita akisaini cheti cha kiapo baada ya kula kiapo cha uongozi katika nafasi hiyo.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda akisaini cheti cha kiapo cha mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita

Mkuu wa wilaya ya Kahama mpya Mh. Mboni Mhita akila kiapo cha maadili katika nafasi ya mkuu wa wilaya ya Kahama baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa wilaya ya Kahama mpya Mh. Mboni Mhita akila kiapo cha maadili mbele ya kiongozi wa maadili kanda ya Magharibi Bwana Gerald Mwaitebele, katika nafasi ya mkuu wa wilaya ya Kahama baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita akisaini cheti cha kiapo cha maadili baada ya kula kiapo cha uongozi katika nafasi hiyo.

Kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga upande wa kulia Dkt. Yahaya Nawanda akimkabidhi vitabu vya mwongozo wa majukumu yake mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita akizungumza baada ya kula kiapo cha uongozi katika nafasi hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita akionesha vitabu vya mwongozo wa majukumu yake.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Mussa Samizi ambaye alijitambulisha kwa mara ya kwanza akitokea Wilaya ya kwimba amewaomba wananchi wa Wilaya ya Shinyanga kushirikiana naye huku akiahidi kushirikiana na viongozi mbalimbali katika utekelezaji wa ilani ya CCM

Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Prof; Siza Tumbo akizungumza kwenye hafla hiyo ya Uapisho wa Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda akiwaagiza wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Shinyanga, wakurugenzi kwa kushirikiana na kamati za ulinzi na usalama kuhakikisha watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Mwaka huu 2023 wanaripoti shuleni haraka iwezekanavyo bila kujali changamoto zilizopo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita iliyofanyika Februari 1, Mwaka huu 2023 katika ukimbi wa mikutano ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mheshimiwa Mboni Mhita baada ya kula kiapo cha uongozi Februari 1,2023

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita upande wa kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Samizi.
Upande wa kushoto ni kaimu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bwana Anord Makombe upande wa kulia ni katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donard Magesa wakiwa kwenye hiyo ya kuapishwa mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita iliyofanyika Februari 1, Mwaka huu 2023 katika ukimbi wa mikutano ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita iliyofanyika Februari 1, Mwaka huu 2023 katika ukimbi wa mikutano ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita iliyofanyika Februari 1, Mwaka huu 2023 katika ukimbi wa mikutano ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Zoezi la picha ya pamoja likiendelea katika hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mboni Mhita Februari 1,2023.

Kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda wakisalimiana na Bi. Zabein Mhita ambaye alitumikia nafasi mbalimbali za uongozi, aliwahi kuwa afisa elimu taaluma Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi elimu ya msingi, Mbunge viti maalum kwa awamu moja, Mbunge Jimbo la Kondoa Kaskazini awamu mbili, Naibu waziri wizara ya Sayansi Teknolojia na elimu ya juu pamoja na nafasi ya Naibu waziri wizara ya maliasili na utalii.
Katikati ni Kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda upande wa kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita na upande wa kulia ni

kiongozi wa maadili kanda ya Magharibi Bwana Gerald Mwaitebele
wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Upande wa kulia ni mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Samizi katikati ni mkuu wa Wilaya ya Kishapu Joseph Mkude na upande wa kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita wakiwa kwenye picha ya pamoja.